Mambo Ya Uholanzi haya Posted on: October 14, 2013October 14, 2013 - admin Uholanzi watu wengi wanapenda kuendesha baiskeli kuliko kuendesha magari, sio kwamba hawana uwezo kununua magari bali wanajali afya zao zaidi na wanataka kuwa “fit”.