Lile Tamasha kubwa la Waafrika lilofanyika mjini Tuebingen, Ujerumani lilifikia tamati jana siku ya Jumapili tarehe 11. Tamasha hilo lilianza tokea tahere 8 mwezi huu kwa Waafrika kuonyesha tamaduni zao mbalimbali hapa Ulaya. Zifuatavyo, ni picha zaidi za tukio hilo:











