Banda la SAMSUNG ndani ya maonesho ya Saba Saba Posted on: July 7, 2011 - jomushi Wananchi wakiwa nje ya banda la SamSung wakiangalia burudani mbalimbali zinazotolewa nje ya banda hilo katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Saba Saba jijini Dar es Salaam.