
Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza wananchi mbalimbali walioalikwa
katika futari iliyoandaliwa na Benki ya NBC katika ukumbi wa Zanzibar
Beach Resort [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
katika futari iliyoandaliwa na Benki ya NBC jana katika Ukumbi wa
Zanzibar Beach Rasort, wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Abdalla Mwinyi Khamis (hayupo pichani)akizungumza nao kwa niaba ya
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk. Shein.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
![Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Bibi Mizinga Mellu, akizungumza machache na kutoa salamu za Uongozi wa Benki hiyo wakati wa futari waliyoiandaa kwa wananchi wa Zanzibar jana katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort, Wilaya ya Magharibi Unguja.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/IMG_2731.jpg)
Mellu, akizungumza machache na kutoa salamu za Uongozi wa Benki hiyo
wakati wa futari waliyoiandaa kwa wananchi wa Zanzibar jana katika
ukumbi wa Zanzibar Beach Resort, Wilaya ya Magharibi Unguja.[Picha na
Ramadhan Othman, Ikulu.]
Benki ya NBC Yafuturisha Zanzibar
