Umati ukimsikiliza Rais Kikwete Kijiji cha RulengeUmati wa wanarulenge ukimsikikliza Rais Kikwete, kijiji cha RulengeWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka akielezea baraza la ardhiWaziri wa Kilimo Christopher Chizza akielezea mipango kabambe ya kilimo nchiniWaziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe akieleza mipango kabambe ya maji katika wizara yakeWaziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akieleza mikakati ya wizara yake