Lulu Mbonea akipungia mkono mara baada ya kuvishwa taji, kushoto ni Like Kipenga na kulia ni Hawa RamashanHuyu Ndiye Redd’s Miss Tanga 2013Halima Dendego, akizungumza mara baada ya kupokea tuzo ya shukrani kutoka kwa muandaaji wa shindano hilo Asha Kigundula.