Maandamano mgeni rasmi na viongozi wa GTI na TGNPMaandamano ya mahafaliMwenyekiti wa Bodi ya GTI, Marry Rusimbi (aliyesimama) akihutubiaBaadhi ya wahadhiri wa chuo cha mafunzo ya Jinsia GTI wakiwa kwenye mahafali
Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania ikiwajibika katika mahafali hayoMaandamano ya mgeni rasmi na viongozi wa GTI na TGNPMgeni rasmi, John Mnyika akizungumzaMmoja wa wahitimu wakitunukiwa cheti cha mafunzo ya GTI na mgeni rasmi, John MnyikaBaadhi ya wahadhiri wa chuo cha mafunzo ya Jinsia GTI wakiwa kwenye mahafaliBendi ya Polisi ikiwajibikaBaadhi ya wafanyakazi wa TGNP wakiwa katika mahafaliMkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia, Dk. Diana Mwiru (kulia) akihutubia katika hafla hiyomatukio ya sherehe za mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Jinsia (GTI), zilizofanyika leo mchana katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Mabibo, jijini Dar es Salaam. Chuo cah Mafunzo ya Jinsia (GTI) leo kimetoa wahitimu wa kwanza wa mafunzo ya jinsia katika ngazi ya cheti. Mgeni rasmi katika mahafali hayo ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo kupitia tiketi ya CHADEMA, John Mnyika.Picha za pamoja
Matukio ya sherehe za mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Jinsia (GTI), zilizofanyika leo mchana katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Mabibo, jijini Dar es Salaam. Chuo cah Mafunzo ya Jinsia (GTI) leo kimetoa wahitimu wa kwanza wa mafunzo ya jinsia katika ngazi ya cheti. Mgeni rasmi katika mahafali hayo ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo kupitia tiketi ya CHADEMA, John Mnyika. Picha zote zimeandaliwa na mtandao wa www.thehabari.com.