Mengi ‘Ateta’ na Waziri Mkuu Mizengo Pinda Kikazi Posted on: April 3, 2013 - jomushi Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo amekutana na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginard Mengi ambaye alifika ofisini kwa Waziri Mkuu magogoni Jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo ya kikazi (Picha zote na Chris Mfinanga)