Burudani ya kichinaWaziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anahutubia katika sherehe za mwaka mpya wa wachina waziri mkuu alikuwa ndiye mgeni rasimi katika sherhe hiyo ambayo ilifanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam jana jioni picha na CHRIST MFINANGAWaziri Mkuu Mizengo Pinda katikati akimsikiliza Balozi wa China nchini Tanzania Bwana Lv Youging wakati walipo kuwa katika viwanja vya mnazi mmoja katika kusherekea mwaka mpya wa wachina 2013 kulia kwa waziri mkuu ni Waziri wa Habari vijana na utamaduni Mh Fenella Mukangara picha na CHRIS MGINANGA
huu ni ushirikiano au uvamizi? hivi ponda alikumbuka kuhesabu aone hawa jamaa wako wangapi? watuache tupumue!!