Miss Morogoro kubainika Julai Mosi Posted on: June 20, 2011June 20, 2011 - jomushi Warembo ambao watawania taji la kumsaka Miss Morogoro katika shindano ambalo litafanyika Juni Mosi katika Ukumbi wa Morogoro Hoteli.