
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha
Zanzibar (SUZA) ,akitoa zawadi kwa mwanafunzi bora katika fani ya
Shahada ya Sanaa na Elimu, kwa Sabrina Saidi Rashid,katika sherehe za
Mahafali ya nane ya Suza,huko katika kampasi ya Tunguu leo. [Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]

Zanzibar walioalikwa katika sherehe za Mahafali ya nane ya Chuo Kikuu
cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) zilizofanyika leo katika kampasi ya
Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja. . [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

ngazi ya Stashahada ya Lugha na Elimu, wakati walipokuwa wakitunukiwa
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,(kulia) pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar
(SUZA), katika sherehe za mahafali ya nane ya Chuo hicho
yaliyofanyika leo katika kampasi ya Tunguu.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar
(SUZA) ,akitoa zawadi kwa mwanafunzi bora katika fani ya Cheti cha
Teknolojia ya Habari,(IT) kwa Lukuman Mohamed Bachu,katika sherehe za
Mahafali ya nane ya Suza,huko katika kampasi ya Tunguu leo. [Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]

Zanzibar (SUZA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Taifa cha Zanzibar (SUZA) ,akitoa hutuba yake baada ya kuwatunuku
Shahada,katika sherehe za Mahafali ya nane ya chuo zilizofanyika
huko katika kampasi ya Tunguu l
