Ukarabati Barabara Ndogo ya Mtaa wa St. Marry Tabata Posted on: December 21, 2012December 21, 2012 - jomushi Baadhi ya magari kazi yanayotumika katika ujenzi wa barabara yakiendelea kuifanyia ukarabati barabara ndogo ya Mtaa wa St. Marry Tabata Bima. Barabara hiyo inayoanzia eneo la Chuo cha Ualimu cha St. Mary hadi eneo la Camp Tabata Bima inawekewa lami.