Uarabuni Utanyongwa…! Leo Jijini Dar Posted on: October 27, 2012 - jomushi Gari la abiria linalofanya safari zake kati ya Mbagala- Mwenge jijini Dar es Salaam limenaswa na camera ya mtandao huu likiwa na ujumbe huu (soma mwenyewe katika picha hii hapo juu)