Mwenyekiti mpya wa UVCCM, Khamis Sadifa JumaMjumbe wa Kamati Kuu, Rais wa Zanzibar, Dk. Shein akiwa na Mwenyekiti mpya wa UVCCM, Khamis Sadifa Juma na Makamu Mkt UVCCM, Mboni Mhita baada ya viongozi hao wapya wa Umoja huo kutangazwa kuwa washindi leo katika uchaguzi mkuu wa UVCCM uliofanyika jana mjini Dodoma. Picha na Bashir Nkoromo.Khamis Sadifa Juma bada ya kutangazwa mshindiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizumgumza wakati akiufunga Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo uliofanyika Mjini Dodoma katika ukumbi wa Chuo cha Mipango uliomchagua Mwenyekiti Mpya wa jumuiya ya UVCCM Khamis Saifa Juma na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM, Mboni Mohamed Mkita. [Picha na Ramadhan Othman, Dodoma]
One thought on “Huyu Ndiye Kiongozi Mkuu wa UVCCM Taifa”
cha msingi kuepuka makundi yoyote yuanayoweza kugawa chama au ushawishi wowote wa watu wenye pesa zao wenye lengo la kukigawa chama na kununua nchi kwa gharama zozoter. tunatakiwa kuilinda na kuitetea katiba na misingi ya watanzania na wanacm kwa ujumla wao.