Mji wa Kilimanjaro na Usafi wa Mazingira…! Posted on: October 24, 2012October 24, 2012 - jomushi Mazingira anuai ya Manispaa ya Mji wa Moshi Mkoani Kilimanjaro kama yanavyoonekana katika picha. Mkoa wa Kilimanjaro umekuwa ukiongoza kwa kutunza mazingira na usafi wa maeneo yake. Picha na Mdau wa dev.kisakuzi.com Kilimanjaro.