Jana Wilayani Mkuranga…! Posted on: October 17, 2012 - jomushi Nikiwa barabarani kuelekea wilayani Mkuranga Hili ni eneo la Mkuranga Mjini Hili ni Jengo la Kituo cha Magari ya Abiria Wilayani Mkuranga ambalo limekutwa limetelekezwa (kutotumika ipasavyo) Mishemishe Mkuranga Mjini..!