Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,akipiga
kura kumchagua Mwenyekiti wa Mkoa Mpya wa Magharibi CCM,sambamba na
Mkutano Mkuu wa Mkoa huo, uliofanyika ukumbi wa Chuo cha Ufundi
Karume Mbweni.

wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume,akiteta jambo na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,wakati wa Mkutano Mkuu wa Mkoa Mpya wa
Magharibi, sambamba na uchaguzi utakaomchagua Mwenyekiti wa CCM Mkoa
huo, katika ukumbi wa Chuo cha Ufundi Karume Mbweni.

Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu
ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wanachama
na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Mkoa wa Mjini, sambamba na uchaguzi
utakaomchagua Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo, pamoja na viongozi wengine
katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani