Mhariri Mkuu wa dev.kisakuzi.com, Joachim Mushi (kushoto) akigonganisha glasi ya mvinyo na mkewe Hilder Mwaipopo Agosti 25, 2012 kwenye hafla ya harusi yao jijini Dar es Salaam.Bi. Hilder Mwaipopo (kulia) akijiandaa kumnywesha mvinyo mumewe Joachim Mushi kwenye hafla ya harusi yao iliyofanyika jijini Dar es Salaam.Hapa ilikuwa ni wakati wa Mr & Mrs Joachim Mushi kufungua muziki.
Mushi, Hongera sana sana ndugu yangu…..I hope kukutana na wewe na mwenzako siku za karibuni.