
Ali Mohamed Shein,akimuapisha Rashid Seif Suleiman kuwa Waziri wa
Miundombinu na Mawasiliano,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar

Ali Mohamed Shein,akimuapisha Sheikh Daudi Khamis Salim kuwa Kadhi wa
Rufaa Pemba ,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar

Iddi,akisalimiana na Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kiapo cha
Waziri Mpya wa Miundombinu,Rashid Seif Suleiman, katika Ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar