

aadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba (hayupo pichani) akiwaelezea jinsi tume hiyo ilivyokaribia kuanza kwa awamu ya kwanza ya mchakato wa kuzunguka nchi nzima ili kushauriana na wananchi katika ukusanyaji na kuratibu maoni ya katiba mpya.