Wanafunzi wakiwa katika muda wa mapumziko wakati wenzao wa kidato cha tano wakiendelea na mitihani ya mock Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Sekondari ya Naura, Ndugu Mary Shirima akifanya mahojiano na mwandishi kufahamu changamoto zinazoikabili shule hiyo Baadhi ya wanafunzi wanaosoma shuleni hapo wakiwa katika muda wa mapumzikoMwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Naura, Ndugu Sunday G. Mshobozi ambaye pia ndiye mwalimu pekee wa somo la Fizikia kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha nne.