CCM ilivyokusanya wanachama wake Jangwani Posted on: June 10, 2012June 10, 2012 - jomushi . Watu kutoka Temeke wakiingia viwanja vya Jangwani baadhi ya watu waliokuwepo kwani jangwani si mafuriko ya maji tena bali ni wana CCM aibu yetu aibu yao