Zitto afanya mazungumzo na Spika wa zamani wa Marekani Pelosi Posted on: May 19, 2012 - jomushi Mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa zamani wa Marekani Nancy Pelosi (kushoto) na Mbunge Dennis Kucinich.