Kadi ya utambulisho wa Blogu na Tovuti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Rais Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akizindua Blogu na Tovuti ya Chama hicho mjini Dodoma janaPichani Nape akitoa maelezo kwa Rais Kikwete namna mitandao hiyo ya CCM itakavyokuwa ikifanya kazi.Nape Nnauye (kulia) akimshauri jambo Rais Kikwete kwenye hafla hiyo mjini DodomaMakongoro Nyerere akimtuza Nape wakati alipokuwa akilikung'uta gitaa kwenye afla hiyo