Eti na huu nao ni mtego wa panya

Eti na huu nao pichani ni mtego wa panya- Mipira ikiwa ni mabaki ya plastiki laini ikiuzwa kama mitego ya panya maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam kama ilivyo kutwa na mpiga picha wetu leo jijini Dar.

Related Post