Bondia Thomas Mashari atwaa ubingwa wa Taifa Posted on: April 10, 2012 - jomushi Bondia Selemani Galile akipambana na Thomas Mashari 'Simba' wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Taifa uliofanyika Dar es Salaam, Mashari alishinda kwa pointi na kunyakua ubingwa huo. (Picha na super d boxing blog)