Ndizi mkoani Iringa! Posted on: January 23, 2012 - jomushi Msukuma mkokoteni akiwa amebeba mikungu ya ndizi eneo la Mji Mwema mkoani Iringa kuelekea sokoni tayari kwa kuziuza juzi. (Picha na Joachim Mushi)