Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Hamad Mussa Yussuf , akichoma moto mswada wa sheria ya kuanzisha Tume ya kurekebisha Katiba Tanzania leo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar. Picha na Hamad Hija,MAELEZO Zanzibar
Chadema wachoma moto muswada wa marekebisho ya Katiba

kila mtu anahaki ya kufanya atakavyo hio ndo demokrasia