JK AFANYA MAZUNGUMZO NA KOFI ANNAN Posted on: April 1, 2011April 1, 2011 - Rungwe Jr. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na katibu mkuu wa zamani wa Umoja Wa Mataifa, Kofi Annan Ikulu jijini Dar Es Salaam. Source: Michuzi Blog