POLISI nchini Kenya wamesema watu wapatao saba wamejeruhiwa kwenye shambulio la guruneti dhidi ya Kanisa katika Mji wa Garissa. Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya…
Continue Reading....Year: 2012
Mawaziri Wakuu wa zamani, Wapinzani wa CCM Wampongeza Rais Kikwete
MAWAZIRI Wakuu wa zamani pamoja na wapinzani wa CCM wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete na Serikali yake kwa juhudi za…
Continue Reading....JK Aonya Kuhusu Vurugu na Machafuko kwa Visingizio vya Siasa
RAIS wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewaonya watu na makundi ya watu wanaotafuta visingizo vya kufanya fujo kupitia siasa na dini wasiilazimishe…
Continue Reading....Skylight Band Walivyopagawisha Ndani ya Thai Village Dar
Mabinti watanashati wenye uwezo wa kumtoa nyoka pangoni SKYLIGHT Band Aneth Kushaba AK 47 (kushoto) na Mary Lukas wakitumbuiza mashabiki (hawapo pichani) katika kiota cha…
Continue Reading....Habari Njema kwa Wahitimu Chuo Cha Uhazili Tabora 1989
WANACHUO wote waliomaliza Chuo cha UHAZILI Tabora mwaka 1989, mnaombwa kukutana bila kukosa ukumbi wa JOLLY CLUB siku ya Ijumaa Novemba 16, 2012 saa 11.00…
Continue Reading....