Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 91

Year: 2012

Uongozi Mpya FARU na NJOREFA Wapongezwa

Posted on: November 7, 2012 - jomushi
Uongozi Mpya FARU na NJOREFA Wapongezwa

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linatoa pongezi kwa uongozi mpya wa vyama vya mpira wa miguu vya mikoa ya Ruvuma (FARU) na Njombe…

Continue Reading....

Rais wa Zamani wa Ujerumani Atoa Changamoto Kuhusu Wajasiriamali EAC

Posted on: November 7, 2012 - jomushi
Rais wa Zamani wa Ujerumani Atoa Changamoto Kuhusu Wajasiriamali EAC

Na Nicodemus Ikonko, EANA RAIS wa zamani wa Ujerumani, Horst Kohler amepania kutoa msukumo wa kuendeleza ujasiliamali Mdogo na wa Kati (SMEs) kwa Afrika Mashariki,…

Continue Reading....

Mawaziri Wajadili Sheria Itakayoruhusu Mashoga Kuoana na Kupata Watoto Ufaransa

Posted on: November 7, 2012 - jomushi
Mawaziri Wajadili Sheria Itakayoruhusu Mashoga Kuoana na Kupata Watoto Ufaransa

MIPANGO ya sheria mpya itakayowaruhusu wapenzi wa jinsia moja nchini Ufaransa kuoana na kupata watoto inajadiliwa katika mkutano muhimu wa baraza la mawaziri la Rais…

Continue Reading....

Obama Ashinda Uchaguzi Marekani

Posted on: November 7, 2012November 7, 2012 - jomushi
Obama Ashinda Uchaguzi Marekani

MGOMBEA wa Urais wa Marekani kutoka chama cha Democratic, Barack Obama tayari ameshinda uchaguzi huo. Taarifa ambazo mtandao huu umezipata kutoka vyanzo vyake nchini Marekani…

Continue Reading....

Matokeo ya Awali ya Uchaguzi Marekani Yaanza Kutolewa

Posted on: November 7, 2012November 7, 2012 - jomushi
Matokeo ya Awali ya Uchaguzi Marekani Yaanza Kutolewa

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu wa nafasi ya urais nchini Marekani yameanza kutolewa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Licha ya ushindani huo kuwa mkali hadi sasa…

Continue Reading....

Upinzani Kumshtaki Rais Kikwete Bungeni

Posted on: November 7, 2012 - jomushi
Upinzani Kumshtaki Rais Kikwete Bungeni

SUALA la kuwapo kwa majaji wasiokuwa na sifa nchini limeingia katika sura mpya baada ya Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu kusema atawasilisha…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari