TIMU ya Yanga ya Dar es Salaam leo imefanikiwa kuichapa timu ya Coastal Union ya Tanga mabao 2-0.
Continue Reading....Year: 2012
Polisi wa Interpol Kusaidiana na EAC Kupambana na Uhalifu
Na Mwandishi wa EANA, Arusha KATIKA harakati za kuhakikisha kwamba Afrika Mashariki inaendelea kuwa salama kwa uwekezaji, Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) na Polisi wa…
Continue Reading....Mkurugenzi Mkuu wa BBC Ajiuzulu
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Habari, BBC, George Entwistle amejiuzulu wadhifa huo. George Entwistle amejiuzulu kama Mkurugenzi BBC kwa kile kufanyika makosa katika moja ya…
Continue Reading....Kikwete Amtumia Salamu za Rambirambi Sheikh Twakali Karago
Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kigoma, Ndugu…
Continue Reading....Rais Kikwete Ashiriki Mazishi ya Askofu Aloysius Balina
Na Mwandishi Maalumu, Shinyanga RAIS wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameungana na mamia kwa mamia ya waumini wa Kanisa Katoliki kumzika Askofu wa Jimbo Katoliki…
Continue Reading....