Na Mwandishi wa dev.kisakuzi.com KAIMU Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Mary Nsemwa amevipongeza vyombo mbalimbali vya habari nchini kwa kile sasa kutoa nafasi…
Continue Reading....Year: 2012
Kamanda wa Boko Haram Auawa Nigeria
WANAJESHI wa Nigeria wanaendeleza operesheni kali ya kuwasaka wapiganaji wa Boko Haram katika eneo la Maiduguri Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo. Wanajeshi hao wanatumia magari…
Continue Reading....Waziri Mkuu wa Misri Aitembelea Gaza, Wapalestin Waomba UN Iingilie
WAZIRI Mkuu wa Misri Hisham Kandil ameutembelea Ukanda wa Gaza na kuahidi kuwasaidia Wapalestina kurejesha utulivu kwa kusitisha mashambulizi ya Israel ambayo yameendelea licha ya…
Continue Reading....Polisi Dar Wakamata Matapeli, Walimteka Raia na ‘Furushi’ la Fedha
POLISI Dar es Salaam leo wamefanikiwa kuwakamata watu wanaosadikiwa kuwa matapeli eneo la Posta Mpya Mtaa wa Azikiwe jijini Dar es Salaam ambao walimteka…
Continue Reading....Semina Juu ya Katiba na Haki za Wazee Tanzania
SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO UNAKARIBISHWA KATIKA JUKWAA LA WAZI LA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII MTOA…
Continue Reading....