Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 60

Year: 2012

Mchekeshaji Sharo Bilionea Afariki Dunia

Posted on: November 27, 2012November 27, 2012 - jomushi
Mchekeshaji Sharo Bilionea Afariki  Dunia

Msanii wa vichekesho Husiein Ramadhan maalufu kama Sharo bilione amefariki katika ajali ya gari iliyotokea katika sehemu ya maguzoni wilaya ya Muhesa jijini tanga akitokea…

Continue Reading....

Wataalamu Zanzibar Kujifunza Ufugaji wa Samaki Vietnam

Posted on: November 27, 2012 - jomushi
Wataalamu Zanzibar Kujifunza Ufugaji wa Samaki Vietnam

Rajab Mkasaba, Hanoi, Vietnam RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ametembelea Taasisi ya Utafiti wa Ufugaji wa Samaki…

Continue Reading....

Serikali Lawamani kwa Kutowekeza -Mara

Posted on: November 27, 2012 - jomushi
Serikali Lawamani kwa Kutowekeza -Mara

Na Mwandishi wa Mwana wa Afrika MUSOMA WANANCHI Mbalimbali mkoani Mara wameilalamikiaSerikali kwa kutowekeza katika elimu ya juu katika mkoa huu wa Kihistoria hapa nchini.…

Continue Reading....

JK Awaapisha Majaji wa Mahakama Kuu

Posted on: November 27, 2012November 27, 2012 - jomushi
JK Awaapisha Majaji wa Mahakama Kuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Novemba 26, 2012 amewaapisha Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama…

Continue Reading....

TIGO Yashikilia Usukani wa Kero kwa Wateja

Posted on: November 26, 2012 - jomushi
TIGO Yashikilia Usukani wa Kero kwa Wateja

Na Waandishi Wetu, Hudumabongo@gmail.com KAMPUNI ya mawasiliano ya simu za mkononi, Tigo imeshikilia usukani wa biashara inayoongoza kwa kero kwa wateja baada ya kuibuka kuwa…

Continue Reading....

Hivi Ndivyo Kampasi ya Mloganzila ya MUHAS Itakavyokuwa Baada ya Kukamilika

Posted on: November 26, 2012 - jomushi
Hivi Ndivyo Kampasi ya Mloganzila ya MUHAS Itakavyokuwa Baada ya Kukamilika

MICHORO ya ujenzi wa Kampasi ya Mloganzila iliyo kijijini Kwembe katikati ya Wilaya za Kisarawe Mkoa wa Pwani na Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari