Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 534

Year: 2012

Sunderland yaishangaza Man City

Posted on: January 2, 2012 - jomushi
Sunderland yaishangaza Man City

BAO la Ji Dong-won katika muda wa majeruhi siku ya Jumapili uliiwezesha Sunderland, ikicheza nyumbani kupata ushindi ambao uliwashangaza mashabiki wa Manchester City, ambao hadi…

Continue Reading....

Mji wa Sudan Kusini watekwa

Posted on: January 2, 2012 - jomushi
Mji wa Sudan Kusini watekwa

MJI wa Pibor ulitekwa na kabila la Lou Nuer Jumamosi, ingawa kulikuwa na askari wa Umoja wa Mataifa hapo pamoja na wanajeshi wa serikali. Shirika…

Continue Reading....

Waumini Kanisa la Kikristo kujengewa uwezo

Posted on: January 2, 2012 - jomushi
Waumini Kanisa la Kikristo kujengewa uwezo

Na Tiganya Vincent, MAELEZO- Dar es Salaam WASHIRIKI zaidi ya 200 wa Kanisa la Kristo kutoka sehemu mbalimbali nchini wanatarajia kukutana jijini Dar es Salaam…

Continue Reading....

Iran yajaribu kombora jipya

Posted on: January 2, 2012 - jomushi
Iran yajaribu kombora jipya

IRAN inasema imefanya jaribio la kurusha kombora la masafa ya wastani. Jaribio hilo lilifanywa wakati wa mazoezi ya jeshi karibu na Hormuz, mlango unaounganisha Ghuba…

Continue Reading....

Dk. Shein ahaidi neema 2012 kwa Wazanzibar

Posted on: January 2, 2012 - jomushi
Dk. Shein ahaidi neema 2012 kwa Wazanzibar

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) mwaka 2012 imeahidi kuimarisha miundombinu na ubora wa huduma za jamii zikiwemo elimu, afya na…

Continue Reading....

Shambulio la Garissa Al-shabaab wausishwa watano wauwawa

Posted on: January 2, 2012 - jomushi
Shambulio la Garissa Al-shabaab wausishwa watano wauwawa

WATU WATANO wameuwawa na zaidi ya 20 kujeruhiwa kwenye klabu ya starehe mjini Garissa, kaskazini-mashariki mwa Kenya. Washambuliaji walirusha maguruneti kwenye klabu hiyo na kisha…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari