Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 532

Year: 2012

Wabunge Dar wawakumbuka Wananchi wao!

Posted on: January 3, 2012 - jomushi
Wabunge Dar wawakumbuka Wananchi wao!

*Wampinga Dk Magufuli kupandisha nauli vivuko WABUNGE wa Mkoa wa Dar es Salaam wamepinga hatua ya Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi kupandisha gharama ya kivuko…

Continue Reading....

Maisha 2012 hayashikiki-Watabiri

Posted on: January 3, 2012January 3, 2012 - jomushi
Maisha 2012 hayashikiki-Watabiri

IMETABIRIWA kuwa mwaka 2012 utakuwa mwaka mwengine mbaya kiuchumi kwa bara la Ulaya, ingawa ahuweni ya kiuchumi katika masoko yanayoinukia na Marekani huenda ikaufanya uchumi…

Continue Reading....

Michael Essien kurejea uwanjani Januari

Posted on: January 3, 2012 - jomushi
Michael Essien kurejea uwanjani Januari

Kiungo wa Chelsea Michael Essien atarejea uwanjani katikati ya mwezi wa Januari baada ya kupona maumivu ya goti yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu. Michael Essien…

Continue Reading....

Mwanamuziki Senegal atangaza kugombea urais

Posted on: January 3, 2012January 3, 2012 - jomushi
Mwanamuziki Senegal atangaza kugombea urais

MWANAMUZIKI mashuhuri nchini Senegal na mwanaharakati wa kisiasa,Youssou N’dour, ametangaza kuwania kiti cha urais katika uchaguzi wa mwezi Februari nchini humo. Mwanamuziki huyo amesema kuwa…

Continue Reading....

Al- Mahmoundi kurudishwa Libya

Posted on: January 3, 2012 - jomushi
Al- Mahmoundi kurudishwa Libya

RAIS wa Tunisia, Moncef Marzouki, amesema nchi hiyo haitamuwasilisha kwa mashtaka nchini Libya aliyekuwa waziri mkuu wa Libya, Baghdadi Al-Mahmoudi, bila ya hakikisho kwamba atashtakiwa…

Continue Reading....

Rais Kikwete awaapisha makatibu wakuu leo

Posted on: January 2, 2012 - jomushi
Rais Kikwete awaapisha makatibu wakuu leo

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari