Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 529

Year: 2012

Hamad Rashid asema bado ni mbunge na mwanaCUF

Posted on: January 6, 2012 - jomushi
Hamad Rashid asema bado ni mbunge na mwanaCUF

Na Mwandishi Wetu IKIWA ni siku moja tangu Chama cha Wananchi (CUF) kumfukuza uwanachama Mbunge wa Jimbo la Wawi, Hamad Rashid pamoja na wenzake watatu,…

Continue Reading....

Fukuza fukuza wabunge ‘yamgusa’ Tendwa

Posted on: January 6, 2012 - jomushi
Fukuza fukuza wabunge ‘yamgusa’ Tendwa

*Afikiria kuangalia upya sheria Na Magreth Kinabo–Maelezo, Dar es Salaam MSAJILI wa Vyama vya Siasa, John Tendwa amesema kwamba ofisi yake inafikiria kubadilisha mifumo ya…

Continue Reading....

M/Kiti wa NEC aapa kutenda kwa sheria na Katiba

Posted on: January 6, 2012 - jomushi
M/Kiti wa NEC aapa kutenda kwa sheria na Katiba

Na Magreth Kinabo-MAELEZO MWENYEKITI mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva amesema atafanya kazi katika taasisi hiyo nyeti ya…

Continue Reading....

Kanisa lashambuliwa Nigeria

Posted on: January 6, 2012 - jomushi
Kanisa lashambuliwa Nigeria

MAOFISA wa Polisi nchini Nigeria wamesema kuwa watu waliokuwa wamejihami kwa bunduki wamewauwa watu watatu katika shambulio walilolifanya kwenye kanisa moja, Mji wa Gombe ulioko…

Continue Reading....

Ziara ya Kafulila Kigoma yaitesa NCCR-Mageuzi

Posted on: January 6, 2012January 6, 2012 - Rungwe Jr.
Ziara ya Kafulila Kigoma yaitesa NCCR-Mageuzi

Joto la kisiasa katika Jimbo la Kigoma Kusini, linazidi kupanda, baada ya baadhi ya viongozi wa Chama cha NCCR-Mageuzi kutoka makao makuu kuingia jimboni humo…

Continue Reading....

Hamad Rashid mwisho

Posted on: January 6, 2012 - Rungwe Jr.
Hamad Rashid mwisho

Baraza Kuu cha Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF) limewafukuza rasmi viongozi wanne wa chama hicho, akiwemo muasisi wake na Mbunge wa Jimbo la Wawi,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari