Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 506

Year: 2012

TFF yataja viingilio mechi ya Twiga Stars na Namibia

Posted on: January 24, 2012 - jomushi
TFF yataja viingilio mechi ya Twiga Stars na Namibia

KIINGILIO cha chini kwa mechi ya kufuzu kwa fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC) kati ya Twiga Stars na Namibia itakayochezwa Jumapili, Januari 29 mwaka…

Continue Reading....

Yanga yatakiwa kumlipa Njoroge sh. mil 17

Posted on: January 24, 2012 - jomushi
Yanga yatakiwa kumlipa Njoroge sh. mil 17

Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kupitia kitengo chake cha utatuzi wa migogoro (Dispute Resolution Chamber- DRC) limeagiza klabu ya…

Continue Reading....

Bunge lataka EWURA CCC iongezewe bajeti

Posted on: January 24, 2012 - jomushi
Bunge lataka EWURA CCC iongezewe bajeti

Na Magreth Kinabo–MAELEZO KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya umma (PAC), imeagiza sheria inayoruhusu Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nishati (EWURA) kulipa…

Continue Reading....

SPEECH BY WILLIAM NGELEJA, MINISTER FOR ENERGY AND MINERALS DURING THE SIGNING CEREMONY OF PETROBRAS, HERITAGE AND MOTHERLAND PRODUCTION SHARING AGREEMENTS ON 24TH JANUARY, 2012

Posted on: January 24, 2012January 24, 2012 - jomushi
SPEECH BY WILLIAM NGELEJA, MINISTER FOR ENERGY AND MINERALS DURING THE SIGNING CEREMONY OF PETROBRAS, HERITAGE AND MOTHERLAND PRODUCTION SHARING AGREEMENTS  ON 24TH JANUARY, 2012

Today the Government of the United Republic of Tanzania through the Ministry of Energy & Minerals and TPDC is signing three Production Sharing Agreements (PSAs)…

Continue Reading....

Breaking Newzz: ‘Mchawi’ adondoka angani!

Posted on: January 24, 2012 - jomushi
Breaking Newzz: ‘Mchawi’ adondoka angani!

Na Mwandishi Wetu, Mkuranga TAARIFA ambazo zimetufikia ni kwamba mama mmoja (55) akiwa mtupu, yaani kama alivyozaliwa amedondoka kutoka angani alipokuwa akisafiri na ungo pamoja…

Continue Reading....

Madaktari Muhimbili kugoma kesho

Posted on: January 23, 2012January 23, 2012 - jomushi
Madaktari Muhimbili kugoma kesho

Na Mwandishi Wetu UAMUZI wa kugoma umefikiwa leo mjini Dar es Salaam katika Mkutano uliofanyika Don Bosco Upanga ikiwa ni mwendelezo wa Mikutano isiyokoma iliyoanza…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari