*Kupiga simu sasa ni robo shs, SMS ni shs 25 KAMPUNI ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imetangaza promosheni ya aina yake ya punguzo la gharama…
Continue Reading....Year: 2012
UNDP yaifagilia Zanzibar chini ya Dk Shein
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo Duniani (UNDP) limeeleza kuwa mafanikio yanayoendelea kupatikana katika sekta za maendeleo Zanzibar yatasaidia…
Continue Reading....RC Arusha ataka waandishi wapewe ushirikiano
Na Mwandishi Wetu, Arusha MKUU wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo amewataka viongozi wa Serikali mkoani hapa ngazi zote, kutoa ushirikiano kwa vyombo vya habari.…
Continue Reading....Rais Wade wa Senegal kugombea urais tena
MAHAKAMA Kuu ya Senegal imetupilia mbali kesi ya rufaa ya vyama vya upinzani na kuamua kuwa Rais Abdoulaye Wade anaweza kugombea tena kiti cha urais…
Continue Reading....