TUATAMBUA fika mchango mkubwa wa Kampuni ya Bia ya Serengeti katika kukuza na kuendeleza uchumi wa taifa letu. Serengeti ni moja kati ya kampuni zilizojenga…
Continue Reading....Year: 2012
Moi yafunga huduma za kliniki
MGOMO wa madaktari umezidi kutikisa na kuathiri huduma za afya katika hospitali kuu nchini, huku Taasisi ya Mifupa (Moi) ikitangaza rasmi kufunga kliniki zote zinazohudumia…
Continue Reading....Rais Kikwete amkana Pinda, Makinda
Asema aliwataka watumie busara, Spika asisitiza aliruhusu, Wananchi wachachamaa SIKU moja baada ya Waziri Mkuu Mkuu, Mizengo Pinda kusema tayari Rais Jakaya Kikwete amesaini kuidhinisha…
Continue Reading....JK akana kubariki posho mpya za wabunge
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amekana taarifa za kwamba ameridhia la kiwango kipya cha posho za wabunge (yaani sh. 330,000 kwa siku)…
Continue Reading....Tanzania kujenga Makao Makuu ya Mahakama ya Haki za Binadamu
Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa Tanzania itagharamia ujenzi wa makao makuu ya kudumu ya Mahakama ya Haki za Binadamu ya…
Continue Reading....Serikali yapeleka madaktari wa Jeshi Muhimbili
Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Tanzania imelazimika kuchukua madaktari 15 kutoka Hospitali ya Jeshi la Wananchi Tanzania ya Lugalo na kuwapeleka katika Hospitali ya Taifa…
Continue Reading....