Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 485

Year: 2012

Mujuni kuzichezesha APR na Tusker

Posted on: February 6, 2012 - jomushi
Mujuni kuzichezesha APR na Tusker

Na Mwandishi Wetu MWAMUZI Israel Mujuni wa Tanzania ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuchezesha mechi ya marudiano ya raundi ya mchujo…

Continue Reading....

TFF yasusha viingilio Uwanja wa Chamazi-AZAM

Posted on: February 6, 2012 - jomushi
TFF yasusha viingilio Uwanja wa Chamazi-AZAM

*Simba Vs Villa waingiza mil 30/- SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefanyia marekebisho viingilio vya mechi za Ligi Kuu ya Vodacom zitakazochezwa katika…

Continue Reading....

Mfuko wa Bima ya Afya waanza kuhakiki vitambulisho vya wanachama

Posted on: February 6, 2012 - jomushi
Mfuko wa Bima ya Afya waanza kuhakiki vitambulisho vya wanachama

Na Mwandishi Wetu MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeanza kufanya zoezi la ukaguzi na uhakiki wa vitambulisho vya matibabu kwa wanachama wake…

Continue Reading....

Mkutano wa Munich wazilaani China na Urusi

Posted on: February 6, 2012 - jomushi
Mkutano wa Munich wazilaani China na Urusi

CHINA na Urusi zimendelea kushutumiwa vikali kwa kutumia kura ya turufu kupinga azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kumaliza ghasia nchini…

Continue Reading....

JK azungumza na Meya ya Jiji la Wurzburg

Posted on: February 5, 2012February 6, 2012 - jomushi
JK azungumza na Meya ya Jiji la Wurzburg

Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete leo, Februari 5, 2012, amekutana na kufanya mazungumzo na Meya wa Mji wa…

Continue Reading....

Rais Kikwete azindua kitabu cha utawala wa Nyerere

Posted on: February 5, 2012February 6, 2012 - jomushi
Rais Kikwete azindua kitabu cha utawala wa Nyerere

Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo, Februari 5, 2012, amezindua Kitabu kiitwacho Uongozi na Utawala wa Mwalimu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari