Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 480

Year: 2012

Kesi ya Lema kuanza kusikilizwa kesho

Posted on: February 8, 2012 - jomushi
Kesi ya Lema kuanza kusikilizwa kesho

Na Janeth Mushi, Arusha UPANDE wa wadai katika kesi ya kupinga matokeo ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA) unatarajia kuanza kutoa ushahidi wake…

Continue Reading....

‘Tumeimarisha ulinzi Shule ya Ndanda’

Posted on: February 8, 2012 - jomushi
‘Tumeimarisha ulinzi Shule ya Ndanda’

Na Magreth Kinabo, MAELEZO SERIKALI imesema imeimarisha ulinzi katika Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Ndanda kufuatia tishio la vurugu linalodaiwa kutaka kufanywa na baadhi…

Continue Reading....

Matokeo kidato cha nne yatangazwa, 3,303 wafutiwa matokeo

Posted on: February 8, 2012 - jomushi
Matokeo kidato cha nne yatangazwa, 3,303 wafutiwa matokeo

Na Mwandishi Wetu BARAZA la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA) leo limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika mwaka 2011/2012, ambapo pamoja na…

Continue Reading....

Manufacturing firms shines on DSE

Posted on: February 8, 2012 - jomushi
Manufacturing firms shines on DSE

COUNTERS of the listed manufacturing firms dominated trading at the equity market contributing over 90 per cent of the bourse’s total turnover last week. The…

Continue Reading....

Mgomo wa madaktari; Wanaharakati, wananchi wafunga barabara kwa maandamano Dar

Posted on: February 8, 2012February 9, 2012 - jomushi
Mgomo wa madaktari; Wanaharakati, wananchi wafunga barabara kwa maandamano Dar

*Ni ile muhimu inayotumiwa na vigogo Dar, lengo ni kuitaka Serikali izungumze Na Joachim Mushi WANAHARAKATI pamoja na wananchi kadhaa jijini Dar es Salaam leo…

Continue Reading....

Watakiwa kuwasaidia wanafunzi walemavu

Posted on: February 8, 2012February 8, 2012 - jomushi
Watakiwa kuwasaidia wanafunzi walemavu

Na Janeth Mushi, Arumeru WADAU nchini kwa kushirikiana na jamii wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuwasaidia wanafunzi walio na walemavu wa viungo na kuhakikisha kuwa wanapata…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari