Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania –TAFF- kuomboleza…
Continue Reading....Year: 2012
Tume ya mabadiliko ya Katiba kuzinduliwa Aprili 13
Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete atazindua rasmi Tume ya Kukusanya na Kuratibu Maoni ya Mabadiliko ya Katiba…
Continue Reading....Dk Shein aongoza hitma ya Abeid Aman Karume
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza hitma ya kumuombea dua…
Continue Reading....Rais Kikwete atuma rambirambi Malawi
Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Banda kuomboleza…
Continue Reading....The great Kanumba afariki dunia
Na Mwandishi Wetu MSANII maarufu wa sanaa ya kuigiza nchini Tanzania, Steven Kanumba amefariki dunia. Taarifa zinasema Kanumba amefariki dunia usiku wa kuamkia leo alipokuwa…
Continue Reading....Rais Kikwete ataja majina ya wajumbe Tume ya mabadiliko ya Katiba
Na Mwandishi Wetu RAIS Jakaya Kikwete leo ametaja majina ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, ambao wataendesha mchakato wa kuelekea kupatikana kwa…
Continue Reading....