Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 393

Year: 2012

Mbunge anusurika ajalini

Posted on: April 19, 2012 - Rungwe Jr.
Mbunge anusurika ajalini

Mbunge wa Temeke (CCM), Abbas Mtevu, na watu wawili akiwemo dereva wake wamenusurika kifo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupinduka katika kijiji cha Tabu Hotel…

Continue Reading....

Hatma ubunge Lissu Aprili 27

Posted on: April 19, 2012 - Rungwe Jr.
Hatma ubunge Lissu Aprili 27

Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma itatoa hukumu ya kesi ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), Aprili 27, mwaka huu 2012 baada ya kukamilika…

Continue Reading....

SUDAN KUWASILI MCHANA HUU

Posted on: April 19, 2012 - jomushi
SUDAN KUWASILI MCHANA HUU

Timu ya Taifa ya Sudan (U20) inawasili leo saa 7.25 mchana (Aprili 19 mwaka huu) kwa ndege ya Ethiopian Airlines namba ET 805 ikiwa na…

Continue Reading....

Jumla ya Shilingi bilioni 71 zatumika kununua karafuu Unguja na Pemba,

Posted on: April 19, 2012 - jomushi
Jumla ya Shilingi  bilioni 71 zatumika kununua karafuu Unguja na Pemba,

Na mwandishi wetu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa wananchi wa Zanzibar hasa wakulima wa…

Continue Reading....

CHUO CHA GLOBAL EDUCATION LINK LTD CHAJIVUNIA UBORA WA UTOAJA WA ELIMU YA JUU

Posted on: April 19, 2012 - jomushi
CHUO CHA GLOBAL EDUCATION LINK LTD CHAJIVUNIA UBORA WA UTOAJA WA ELIMU YA JUU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal kulia akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wachuo cha Global Education Link. Bw. Abdulmalik Mollel…

Continue Reading....

Vodacom yajivunia Tuzo ya Uwekezaji Endelevu katika Jamii Afrika Mashariki

Posted on: April 19, 2012April 19, 2012 - jomushi
Vodacom yajivunia Tuzo ya Uwekezaji Endelevu katika Jamii Afrika Mashariki

Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt akisoma tuzo ya Uwekezaji Bora Endelevu katika Jamii kwa Makampuni ya Afrika Mashariki iliyotunukiwa kampuni ya Vodacom Tanzania…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari