Baada ya kuingia vibaya katika mapumziko ya mwisho wa wiki, kesho Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, anawaumbua mawaziri wanaoshinikizwa kujiuzulu. Pinda amesema ataweka mambo hadharani kuhusu…
Continue Reading....Year: 2012
Iddi Simba adai fidia bil.12
Aliyekuwa Mwenyekiti wa mradi wa ujenzi wa Machinjio, Idd Simba, amefungua kesi ya kutaka kulipwa kiasi cha Sh bilioni 12 kwa madai ya kudhalilishwa katika…
Continue Reading....Ridhiwani amshukia Millya
Mtoto wa Rais, Dk. Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete amemshukia aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Arusha, James Ole…
Continue Reading....Rais wa SMZ afunga msimu wa uchumaji wa Karafuu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amefunga rasmi msimu wa uchumaji wa karafuu mwaka 2011/2012 na kusisitiza kuwa uchumaji unamalizika lakini vita…
Continue Reading....Mradi wa tangi la maji wakamilika-Ziwani Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Tangi la Maji la Ziwani Wilaya ya Chake chake Pemba,…
Continue Reading....Dk Shein azungumza na kikosi kazi kilichoshughulikia zao la karafuu
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi ambao ni Wajumbe wa Kikosi cha…
Continue Reading....