Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 39

Year: 2012

Wapinzani Wapinga Kujadiliana na Mursi, Ikulu Yavamiwa

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
Wapinzani Wapinga Kujadiliana na Mursi, Ikulu Yavamiwa

RAIS Mohamed Mursi leo Desemba 08, 2012 alitarajiwa kufanya mazungumzo juu ya kumaliza mzozo mbaya nchini Misri tangu achukue madaraka. Hata hivyo viongozi wakuu wa…

Continue Reading....

Leo ni Leo Bingwa wa CECAFA Tusker Chalenji Mwaka 2012 Kujulika, Tanzania Mshindi wa Tatu

Posted on: December 8, 2012December 8, 2012 - jomushi
Leo ni Leo Bingwa wa CECAFA Tusker Chalenji Mwaka 2012 Kujulika, Tanzania Mshindi wa Tatu

LEO ni leo. Waswahili wanasema ‘mtoto hatumwi dukani’. Mashindano ya CECAFA Tusker Chalenji yanatarajia kumalizika leo jioni ambapo mbabe wa kombe hilo kwa mwaka 2012…

Continue Reading....

Ni Uhuru wa Nchi Gani..??

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
Ni Uhuru wa Nchi Gani..??

NASIKIA matangazo leo kila mahala kwamba eti kesho kuna maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania Bara.Nimesoma historia,sikumbuki kama katika ramani ya dunia kuliwahi kuwa nan chi…

Continue Reading....

Utafiti Wabaini Nguo za Ndani Zachangia Ugumba

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
Utafiti Wabaini Nguo za Ndani Zachangia Ugumba

TAFITI za kisayansi zimebaini kuwa nguo za ndani hasa zinazobana kwa wanaume na zile za aina ya nailoni (nylon) zinaathiri uwezo wa mbegu za kiume,…

Continue Reading....

Breaking Newz; Mkutano Mkubwa wa CHADEMA Manzese

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
Breaking Newz; Mkutano Mkubwa wa CHADEMA Manzese

IKIWA ni siku moja tangu Mbunge wa Jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA, John Mnyika ashinde kesi yake iliyokuwa ikipinga ubunge wake, leo atafanya ziara kubwa…

Continue Reading....

Polisi Mara Yakanusha Uvumi ya Mauaji ya Raia 15

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
Polisi Mara Yakanusha Uvumi ya Mauaji ya Raia 15

Na Thomas Dominick, Mara JESHI la Polisi mkoani Mara limekanusha uvumi wa kutishia raia unaotolewa na baadhi ya wananchi wenye nia mbaya kwa vyombo vya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari