Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 388

Year: 2012

Dk Magufuli ateua wajumbe Bodi ya Mfuko wa Barabara

Posted on: April 23, 2012April 23, 2012 - jomushi
Dk Magufuli ateua wajumbe Bodi ya Mfuko wa Barabara

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Ujenzi nchini Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli (Mb) ameteua wajumbe wanne wa Bodi ya Mfuko wa Barabara kwa kipindi cha…

Continue Reading....

Taarifa ya Mkutano Mkuu wa TFF 2011

Posted on: April 23, 2012 - jomushi
Taarifa ya Mkutano Mkuu wa TFF 2011

MKUTANO Mkuu wa Mwaka (AGM) wa 2011 wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) umefanyika kwa siku mbili (Aprili 21-22 mwaka huu) kwenye ukumbi…

Continue Reading....

Sudan yashambulia kusini

Posted on: April 23, 2012April 23, 2012 - jomushi
Sudan yashambulia kusini

Sudan Kusini imeishutumu Kaskazini kuwa imeshambulia kwa mabomu kituo muhimu cha mafuta, ambayo inaonesha mzozo baina ya nchi mbili hizo bado haukumalizika. Juma lilopita, wanajeshi…

Continue Reading....

Iran yaunda ndege isiyohitaji rubani

Posted on: April 23, 2012 - jomushi
Iran yaunda ndege isiyohitaji rubani

Iran imeanza kuunda ndege ya ujasusi sawa na ile ya aina ya Sentinel ya Marekani, ambayo ilianguka nchini Iran mwaka jana. Wakuu wa Iran wanasema…

Continue Reading....

JK alikana Tanzania Daima, adai linapotosha

Posted on: April 22, 2012April 22, 2012 - jomushi
JK alikana Tanzania Daima, adai linapotosha

RAIS Jakaya Kikwete amekana taarifa zilizoandikwa na Gazeti la Tanzania Daima Jumapili Aprili 22, 2012 kuwa kumekuwa na mazungumzo baina ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete…

Continue Reading....

Rais Kikwete aenda Malawi kumzika Mutharika

Posted on: April 22, 2012 - jomushi
Rais Kikwete aenda Malawi kumzika Mutharika

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Blantyre, Malawi jioni kuhushuria Mazishi ya Profesa Bingu wa Mutharika, aliyekuwa Rais wa Malawi, aliyefariki Aprili 5, 2012 Kufuatia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari