Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 386

Year: 2012

Kilio cha huduma za maji Mkata Handeni

Posted on: April 24, 2012 - jomushi
Kilio cha huduma za maji Mkata Handeni

UPATIKANAJI huduma ya maji kwa wakazi wa Kata ya Mkata Wilayani Handeni bado ni tatizo. Hali hiyo imewafanya wakazi wa eneo hilo kununua maji sh.…

Continue Reading....

HOTUBA YA WAZIRI MKUU WA TANZANIA, MIZENGO PINDA (MB), WAKATI WA KUAHIRISHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA TANZANIA – DODOMA, APRILI 23, 2012

Posted on: April 24, 2012 - jomushi
HOTUBA YA WAZIRI MKUU WA  TANZANIA, MIZENGO PINDA (MB), WAKATI WA KUAHIRISHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA TANZANIA – DODOMA, APRILI 23, 2012

UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, 1. Nitumie nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema kwa kutuwezesha kutekeleza majukumu yote yaliyopangwa kwa ufanisi mkubwa katika Mkutano huu…

Continue Reading....

Bweni la wanafunzi lateketea kwa moto Handeni

Posted on: April 24, 2012 - jomushi
Bweni la wanafunzi lateketea kwa moto Handeni

Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com Handeni WANAFUNZI takriban 50 wa Shule ya Sekondari Kidereko wilayani Handeni hawana sehemu ya kujihifadhi baada ya bweni lao kuteketea kwa…

Continue Reading....

Robin van Persie mchezaji bora wa mwaka 2012

Posted on: April 24, 2012April 24, 2012 - jomushi
Robin van Persie mchezaji bora wa mwaka 2012

Robin van Persie amechaguliwa mchezaji bora wa mwaka katika tuzo inayotolewa na Chama cha Wacheza Kandanda ya Kulipwa- PFA. Mshambuliaji huyo wa Arsenal mwenye umri…

Continue Reading....

Bingu wa Mutharika azikwa nyumbani

Posted on: April 24, 2012 - jomushi
Bingu wa Mutharika azikwa nyumbani

RAIS wa zamani nchini Malawi, Bingu wa Mutharika, amezikwa nyumbani kwake kusini mwa nchi. Wa Mutharika alifariki dunia mwezi jana baada ya kupatwa na mshutuko…

Continue Reading....

Waandamana nusu uchi kulalamikia Polisi

Posted on: April 24, 2012April 24, 2012 - jomushi
Waandamana nusu uchi kulalamikia Polisi

KUNDI la wanawake wamevua nguo, nusu uchi kulalamikia kitendo cha Polisi wa Uganda anayedaiwa kumdhalilisha kingono mwanasiasa wa upinzani. Kanda ya video imeonesha Polisi akimtomasa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari