Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 378

Year: 2012

Mwigulu Nchemba kufuatilia kero ya barabara ya Majohe

Posted on: April 29, 2012 - jomushi
Mwigulu Nchemba kufuatilia kero ya barabara ya Majohe

Na Mwandishi Wetu KATIBU wa NEC, Uchumia na Fedha, Mwigulu Nchemba ameahidi kuzungumza na Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Eugine Mwaiposi kuangalia…

Continue Reading....

Timu ya Kitivo cha Elimu Chuo Kikuu Dodoma yaichapa Dodoma Spurs 58-53

Posted on: April 29, 2012April 29, 2012 - jomushi
Timu ya Kitivo cha Elimu Chuo Kikuu Dodoma yaichapa Dodoma Spurs 58-53

Pambano la mpira wa kikapu kati ya timu ya Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma na timu ya Dodoma Spurs (Timu ya Mkoa)…

Continue Reading....

Ofisi ya DCI yakumbatia jalada watuhumiwa suala la Mwakyembe

Posted on: April 29, 2012 - Rungwe Jr.
Ofisi ya DCI yakumbatia jalada watuhumiwa suala la Mwakyembe

Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Kamishina Robert Manumba, imekumbatia jalada la watuhumiwa waliodai kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison…

Continue Reading....

Kamati Kuu Chadema wakutana

Posted on: April 29, 2012 - Rungwe Jr.
Kamati Kuu Chadema wakutana

Kamati Kuu cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inakutana jana jijini Dar es Salaam, na moja ya ajenda ikielezwa ni kuendelea kuwabana mawaziri waliotuhumiwa…

Continue Reading....

TGNP yafanya mazungumzo na baadhi ya wahariri wa habari

Posted on: April 28, 2012April 28, 2012 - jomushi
TGNP yafanya mazungumzo na baadhi ya wahariri wa habari

Continue Reading....

Pep Guardiola kuondoka Barcelona

Posted on: April 28, 2012April 28, 2012 - jomushi
Pep Guardiola kuondoka Barcelona

Inafahamika kuwa Pep Guardiola anakaribia kuacha kuifundisha Barcelona baada ya kuifahamisha klabu hiyo kuwa hawezi kuendelea kuwa kocha. Guardiola mwenye umri wa miaka 41 atatangaza…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari