MWILI wa marehemu Rhode Philipo Muze umesafirishwa jana kuelekea Usangi Mwanga mkoani Kilimanjaro tayari kwa mazishi yatakayofanyika Ijumaa ya Mai 12, 2012 saa tisa kijijini…
Continue Reading....Year: 2012
Wanaume wazikimbia familia kwa kisingizio cha ugumu wa maisha
Na Joachim Mushi, Handeni BAADHI ya wanaume wamelazimika kuzikimbia familia zao kwa kisingizio cha ugumu wa maisha. Wanaume hao wamezitelekeza familia hizo na kuziacha na…
Continue Reading....Madiwani wamkataa Mkuu wa Wilaya wa Tarime
Na Shomari Binda Tarime SIKU moja baada ya kuteuliwa kwa wakuu wa Wilaya, madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime wamemkataa Mkuu wa Wilaya ya…
Continue Reading....Zimbabwe wachekelea kujipima na Twiga Stars
TIMU ya Taifa ya mpira wa miguu kwa wanawake ya Zimbabwe imefurahia kucheza mechi ya kirafiki na Tanzania (Twiga Stars) itakayofanyika Jumamosi ya Mei 12…
Continue Reading....Wizara ya Afya Zanzibar yaeleza mchakato wa kusaka hospitali ya rufaa
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar WIZARA ya Afya imeeleza hatua zilizofikiwa na zinazoendelea kuchukuliwa katika kutekeleza azma ya kuifanya hospitali kuu ya Mnazi Mmoja kuwa…
Continue Reading....